Chama Cha ODM Kimefutilia Mpango Wa Kuwanyima Fursa Ya Kuwasilisha Mgombea Wa Ugavana Na Useneta Katika Kaunti Ya Nairobi,Nafasi Zinazodaiwa Kutengewa Chama Tawala Cha Jubilee.Katibu Wa Chama Hicho Edwin Sifuna Kwenye Hafla Ya Uzinduzi Wa Azima Ya Ugavana Ya Tim Wanyonyi Amesema Kila Chama Kitashiriki Mchujo Kabla Ya Kumpata Mgombea Bora