Makali Ya "Simba Wa Nairobi" FKF PL

2021-08-17 9

Tiketi Mbili Za Kuwakilisha Kenya Barani Afrika Zikiwa Tayari Zimeshanyakuliwa, Pambano Katika Ligi Kuu Linasalia Ni Nani Atakayetwaa Taji Na Tano Bora Atakaa Nani.Nairobi City Stars Ambao Walipanda Daraja Msimu Huu Ni Mojawapo Ya Vilabu Ambavyo Vinasaka Kumaliza Tano Bora Huu Wakati Ligi Kuu Imeshaingia Katika Kipindi Cha Lala Salama.