Elachi Ahimiza Wenyeji Wa Nairobi Kutohama Wakati Wa Usajili Wa Wapiga Kura
2021-10-03
16
Huku Tume Ya IEBC Ikijiandaa Kuanzisha Zoezi La Kuwasajili Wapiga Kura Wapya, Wito Umetolewa Kwa Wapiga Kura Hasa Wenyeji Wa Kaunti Ya Nairobi Dhidi Ya Kuhamia Makao Wakihofia Machafuko.