Mwanamke Kutoka Mji Wa Thika Katika Kaunti Ya Kiambu Ambaye Ni Fundi Wa Viatu Ameenda Kinyume Na Matarajio Na Kutawala Sekta Inayotawaliwa Na Wanaume Ili Kukimu Familia Yake. Mary Wangari Hurauka Kila Uchao Kufanya Biashara Hiyo Ambayo Imemwezesha Kusomesha Watoto Wake Wote Wanne. Hata Hivyo, Anasimulia Baadhi Ya Changamoto Anazopitia Katika Pilka Pilka Zake. Mwanahabari Wetu Lucy Riley Anatuletea Taarifa Hio.