Kimanzi azungumzia matokeo duni ya Kenya Francis

2012-06-19 21

http://www.ktnkenya.tv
Saa chache tu kabla ya kupigwa kalamu, Francis Kimanzi alizungumzia kutofuzu kwa Kenya katika dimba la bara afrika na kusalia ya mwisho katika kundi la sita la kombe la dunia.