Raia Wa Denmark Simon Enna Wesche, Anaomba Usaidizi Wa Serikali Ya Kenya Baada Ya Kufurushwa Na Mpenziwe Kutoka Kwenye Makaazi Yake Yaliyo Pembeni Mwa Bahari Hindi Eneo La Malindi Kaunit Ya Kilifi. Simon Amekiri Kuwa Mpenziwe Viviene Nasimiyu Wamalwa Anaishi Kinyume Kwenye Makaazi Yake Yenye Thamani Ya Shilingi Milioni 12 Na Sasa Anautaka Ubalozi Wa Denmark Nchini Kenya Kumpa Usaidizi Wa Kurejea Nchini Kenya Kwani Hatua Zake Za Kurejea Bado Hazijafua Dafu.