Wakaazi Wa Malindi Na Magarini Waomba Serikali Kuwapa Maji Baada Ya Mto Sabaki Kukauka

2023-03-13 5

Wakaazi Wa Magarini Na Malindi Wamo Katika Hatari Kubwa Ya Uhaba Wa Maji Baada Ya Mto Aliokuwa Wakiutegemea Kupata Majia Kukauka. Kukauka Kwa Mto Sabaki Kumewapa Kiwewe Wakaazi Hao Wa Malindi Na Magarini Na Sasa Wanatoa Wito Kwa Serikali Kuwanusuru Kwa Kuwachimbia Visima.