Mwili Wa Sharon Jepkosgei Kigen Ambaye Aliaga Dunia Februari 21 Mwaka Huu Alipokuwa Akiogelea Na Marafiki Zake Kwenye Mto Wa St. George Macquarie Jijini Sydney, Australia, Umetua Katika Uwanja Wa Ndege Wa Kimataifa Mjini Eldoret. Mazishi Ya Mwendazake Sharon Yanatarajiwa Kuandaliwa Machi 14 Mwaka Huu Katika Eneo Bunge La Moiben Kaunti Ya Uasin Gishu.