Viongozi Wa Ford Kenya Wakashifu Pendekezo La Malala La Kuvunja Chama Hicho

2023-03-13 3

Uongozi Wa Chama Cha Ford Kenya Eneo La Nyanza Umepinga Mapendekezo Ya Katibu Mkuu Wa Chama Cha Uda Cleophas Malala, Ya Kutaka Kuvunjilia Mbali Kwa Vyama Tanzu Kwenye Muungano Wa Kenya Kwanza Na Kuunda Chama Kimoja. Wakiongozwa Na Mwenyekiti Wa Chama Hicho Tawi La Nyanza Charles Mogaka, Viongozi Wamekashifu Wazo La Malala Wakimtaka Kutotoa Kauli Kama Hizo Bila Kushiriki Majadiliano Na Viongozi Wa Vyama Hivyo.