Matiang'i Anusurika Mashtaka Baada Ya Ofisi Ya DPP Kuamuru DCI Kufunga Kesi Yake

2023-03-13 2

Afisi Ya Mkurugenzi Wa Mashtaka Nchini ODPP Inaitaka Idara Ya DCI Kufunga Faili Ya Mashtaka Dhidi Ya Fred Matiang'I Baada Ya Ushahidi Uliowasilishwa Kukosa Kufikisha Vigezo Vya Kumshtaki Waziri Huyo Wa Zamani. Noordin Haji Katika Taarifa Yake Amesema Kuwa Uchambuzi Huru Na Wa Kina Wa Ushahidi Pamoja Na Uhakiki Wa Taarifa Za Mashahidi Umebaini Kuwa Ushahidi Uliotolewa Haukutosha Kuendeleza Mashtaka Dhidi Ya Matiang'i. Sasa Ameitaka Afisi Ya DCI Kufunga Kesi Hio.