Mtu Mmoja Afariki Baada Ya Mashambulizi Mapya Kerio

2023-03-12 6

Mtu Mmoja Amefariki Eneo La Bonde La Kerio Huku Hali Ya Usalama Ukiendelea Kudorora Licha Ya Serikali Kufanya Opareheni Ya Kuleta Amani Na Utulivu Na Kuwaondoa Majambazi Eneo Na Kaskazini Mwa Ufa.Marehemu Elisha Mutanga Ambaye Alikuwa Ni Mwanafunzi Wa Somo La Afya Ya Wanyama Alipigwa Risasi Ya Paja Katika Mashambulizi Mapya Ya Ujambazi Sehemu Hiyo Na Kufariki Alipokuwa Anapelekwa Hospitalini.Wakati Huo Huo Askari Wa Akiba Davis Murkomen Pia Anauguza Jereha Mguuni Baada Kupigwa Risasi Katika Mashambulizi Hayo .