Waziri Wa Usalama Wa Ndani Kithure Kindiki Amewataka Wakaazi Katika Baadhi Ya Maeneo Ya North Rift Kuhama Makwao Ndani Ya Saa 24.Kulingana Na Kindiki,Maeneo Hayo Yanadaiwa Kuwa Maficho Ya Majangili.Waziri Kindiki Hata Hivyo Ametishia Kuwataja Viongozi Wanaohusika Katika Visa Vya Mashambulizi Katika Eneo La North Rift.