Wafugaji Eneo La Kaskazini Mashariki Mwa Kenya Wameshauriwa Kuelekea Kilimo Kama Njia Mbadala Ya Kujipatia Mapato Ili Kudhibiti Madhara Ya Mabadiliko Ya Tabia Nchi. Ni Wto Uliotolewa Na Katibu Katika Wizara Ya Maji Na Unyunyizi Maji Kiprono Rono Aliyesema Kuwa Udongo Wa Eneo Hilo Una Rutba Zaidi Kwa Kutotumika Kwa Kilimo Kwa Muda Mrefu.