Duale Amesema Mikutano Ya Azimio Ni Ya Kuwahadaa Wakenya

2023-03-11 3

Wazri Wa Ulinzi Aden Duale Amekashifu Utawaa Wa Serikali Ya Uhuru Kenyatta Kwa Kile Alichokitaja Kama Kushiriki Maovu Kwa Wakenya. Duale Amesema Mikutan Ya Hadhara Inayoendelezwa Na Kinara Wa Azimio Raila Oding Ani Ya Kuwahadaa Wakenya Ili Wasahau Mabaya Ya Serikali Iliyoondoka.