Maandalizi Ya Mkutano Wa Azimio Mjini Mombasa

2023-03-11 2

Viongozi Wa Azimio Kaunit Ya Mombasa Wamemkaribisha Kinara Wao Raila Odinga Katika Mkutano Unaonuiwa Kufanyika Hapo Kesho. Wakizungumza Na Wanahabari Mjini Mombasa, Viongozi Hao Wakiongozwa Na Mwenyekiti Wa Chama Cha Jubilee Tawila Mombasa Richard Barale, Wamesema Mombasa Ni Ngome Ya Azimio Na Watashirikiana Na Kiongozi Wao Ipasavyo.