Walimu Wakuu Wanaitaka Serikali Kunusuru Shule Za Umma

2023-03-10 5

Baadhi Ya Wakuu Wa Shule Za Umma Kaunti Ya Kilifi Wanaomba Usaidizi Wa Miundomsingi Katika Shule Zao, Kufuatia Uhaba Wa Madarasa, Madawati Na Vyoo. Wingi Wa Wanafunzi Pia Umetajwa Kama Ambao Umewazidi Walimu Katika Shule Nyingi Swala Linalowalazimu Wanafunzi Kusoma Kwa Awamu.