Wazazi Yaomba Serikali Ya Kaunti Kuongeza Hela Za Kufadhili Masomo

2023-03-10 0

Wazazi Na Walimu Katika Wadi Ya Marafa Kaunti Ya Kilifi Wameiomba Serikali Ya Kaunti Kuongeza Fedha Za Kufadhili Masomo Ya Wanafunzi. Mwakilishi Wadi Emmanuel Karisa Amesema Kuwa Serikali Ya Kaunti Ina Mipango Ya Kuongeza Fedha Zitakazosaidia Kufadhili Elimu Ili Kuwasaidia Wanafunzi Kuendelea Na Masomo.