Wakaazi Naivasha Walalamikia Kusimamishwa Kwa Ukarabati Wa Barabara Ya Maiella-Ngondi Kongoni

2023-03-10 0

Wakaazi Wa Eneo Linalofahamika Kwa Kilimo La Maiella, Naivasha Kaunti Ya Nakuru Wamelalamikia Hali Ya Barabara Ya Maella-Ngondi-Kongoni Wakiwashtumu Viongozi Wa Kisiasa Kwa Kutumia Ahadi Ya Kukarabati Barabara Hiyo Kujivunia Kura. Aidha Wamesema Kuwa Kwa Miongo Mitatu Wamekuwa Wakipata Ahadi Zisizotimika Za Hali Ya Barabara Hiyo Kuboreshwa.