Wamiliki Wa Mashamba Lamu Wakanusha Madai Kuwa Nyuma Ya Mashambulizi Ya Kigaidi

2023-03-09 1

Wamiliki Wa Viwanja Katika Kaunti Ya Lamu Wamekanusha Madai Kuwa Wako Nyuma Ya Mashambulizi Ya Kigaidi Ambayo Yameshuhudiwa Katika Eneo Hilo Ikilenga Jamii Fulani.Wamiliki Hao Sasa Wanataka Ushahidi .Kulingana Nao Uchochezi Ulilenga Kuleta Mgawanyiko Miongoni Mwa Jamii Ambazo Zimekua Na Amani Kwa Miaka Mingi Eneo Lamu.Uchochezi Huu Ulifanywa Na Mwakilishi Wa Akina Mama Monica Marubu Lamu