Kinara Wa Azimio Raila Odinga Ametangaza Kuandaa Maandamano Machi 20

2023-03-09 3

Kinara Wa Azimio Raila Odinga Amewataka Wafuasi Wa Azimio Kujitokeza Katika Maandamano Ambayo Yataandaliwa Tarehe 20 Jijini Nairobi.Kulingana Na Odinga Maandamano Haya Yatasitishwa Iwapo Tu Serikali Ya Rais Ruto Itashughlikia Baadhi Ya Changamoto Zinazowakumba Wakenya Ikiwemo Gharama Ya Maisha.