Mito Kukauka Thika Na Kusababisha Ukame Eneo Hilo
2023-03-07
8
Wakaazi Wa Thika Wameonywa Dhidi Ya Ukame Unaaotarajiwa Eneo Hilo. Hii Inatokana Na Kukauka Kwa Mito Eneo Hilo . Mkurugenzi Wa Maji Mjini Thika Moses Kinya Amesema Kuwa Watahakikisha Wamepata Suluhu.