Naibu Rais Rigathi Gachagua Akaribisha Uekezaji Kutoka Japan Nchini

2023-03-07 1

Kenya Na Japan Zimekubaliana Kuimarisha Uhusiano Wao Katika Ari Ya Kusawazisha Biashara Kati Ya Mataifa Hayo Mawili. Haya Yalitokana Na Mkutano Kati Ya Naibu Rais Rigathi Gachagua Na Balozi Wa Japan Nchini Okaniwa Ken Ambapo Walizungumzia Mikakati Ya Kuimarisha Uhusiano Huo.