Njaa Yazidi Nchini: Viongozi Kutoka Maeneo Kame Wataka Vyakula Kusambazwa Haraka

2023-03-01 4

Viongozi Kutoka Kaunti Zianzoathirirka Na Ukame Wamefanya Kikao Na Wanahabari Katika Majengo Ya Bunge Na Kuitakaserikali Kuwajibika Na Kutaja Ukame Kama Janga La Kitaifa Kabla Ya Binadamu Kuanza Kufariki Kutokana Na Njaa. Viongozi Hao Wamejitokeza Kimasomaso Na Kusema Usambazaji Wa Vyakula Vya Msaasa Unafaa Kudumishwa Katika Maeneo Yote Yanayoathirika.