Makataa Ya Azimio: Odinga Aipa Serikali Makataa Ya Siku 14 Kuboresha Uchumi

2023-02-22 7

Muungano Wa Azimio Hatimaye Umeandaa Maombi Katika Bustani Ya Jevanjee Hapa Jijin Nairobi, Kinara Wa Muungano Huo Raila Odinga Akiandamana Na Vingozi Wengine Wa Vyama Tanzu Vya Azimio Akiwemo Jeremiah Kioni Wa Jubilee Na Eugene Wamaliwa Wa DAP-K. Katika Mkutano Huo Odinga Aliipa Serikali Makataa Ya Siku 14 Kuboresha Uchumi Uliodorora La Sivyo Wataongoza Maandamano Kote Nchini.