Wazazi Wenye Hamaki Wameandamana Na Kuvamia Shule Ya Sekondari Ya Ulumbi Iliyoko Gem, Kaunit Ndogo Ya Yala Huku Wakimtaka Mwalimu Mkuu Kuhamishwa Mara Moja.