Maendeleo Ya Afrika: Rais Ruto Asema Maendeleo Ya Bara Yapewa Kipau Mbele

2023-02-19 2

Rais William Ruto Amekashifu Mikakatai Inayowekwa Na Bara Ulaya Kuhusu Maendeleo Na Kusema Mikakati Hiyo Inakandamiza Bara Afrika. Ruto Alikuwa Akizungumza Na Runinga Moja Ya Kimatiafa Na Kuwataka Marais Wa Afrika Kuweka Mikakati Ya Bara Afrika Ili Kujinasua Kifedha Na Maendeleo.