Gavana Wa Vihiga Aahidi Kuboresha Hatua Za Elimu Vihiga

2023-02-17 9

Gavana Wa Vihiga Wilber Ottichil Ameahidi Kutoa Nafasi Za Mafunzo Kazini Kwa Wanafunzi Watakaofadiliwa Na Udhamini Wa Afisi Ya Gavana. Otichilo Alisema Hayo Katika Sherehe Ya Kuwatuza Zaidi Ya Wanafunzi 80 Waliopata Udhamini Wa Gavana Na Ambao Walifuzu Kuelekea Vyuo Vikuu.