Olimpiki Ya Walemavu: Mkewe Naibu Rais Kuongoza Kikosi Cha Timu Ya Kenya Ya Walemavu

2023-02-08 2

Mkewe Naibu Rais Dorcas Rigathi Hii Leo Alihudhuria Hafla Ya Michezo Ya Watu Wanaoishi Na Ulemavu Katika Uwanja Wa Kasarani Ambayo Ili Andaliwa Na Kamati Ya Olimpiki Ya Walemavu Nchini.Katika Michezo Hiyo Palikuwa Na Kambi Ya Matibabu Ambapo Wanafunzi Walipata Kufanyiwa Uchunguzi Wa Afya Ya Macho , Sikio , Miguu Na Mikono Pamoja Na Midomo. Mkewe Naibu Rais Pia Alishuhudia Michuano Ya Soka Ya Walemavu. Wakati Huo Huo Mwenyekiti Ya Olimpiki Ya Walemavu Nchini Thuo Chege Alimuomba Mweke Naibu Rais Kuwa Kinara Wa Timu Ya Wachezaji Walemavu Pamoja Na Kusaidia Timu Hiyo Kuafika Ruwaza Yake.