Heshima Ya Mwisho Kwa Magoha
2023-02-08
3
Mwili Wa Aliyekuwa Waziri Wa Elimu Professa George Magoha Amepewa Heshima Yake Ya Mwisho Kwa Kuelekezwa Katika Taasisi Mbalimbali Alizoongoza Na Pia Kushiriki Masomo Yake. Haya Yote Yamejiri Siku Mbili Kabla Ya Mazishi Yake Gem Kaunit Ya Siaya.