Usalama Wa Watoto Mtandaoni

2023-02-08 8

Dhulma Za Kimapenzi Kwa Watoto Wanaotumia Huduma Za Mtandao Nchini Zimeongezeka Kwa Asilimia 15 Ndani Ya Mwaka Mmoja Uliopita Licha Ya Juhudi Za Kudhibiti Usalama Mtandaoni. Haya Yalifichuliwa Katika Kampeni Ya Kuhamasisha Usalama Wa Watoto Mtandaoni Hata Huduma Hizo Zinapozidi Kukita Mizizi Katika Shughuli Za Kila Siku A Maisha Ikiwemo Elimu.