Wabunge Wa Jubilee Waahidi Kufanyakazi Na Serikali Ya Rais Ruto

2023-02-08 0

Zaidi Ya Wabunge 30 Kutoka Chama Cha Jubilee Wameahidi Kufanyakazi Na Serikali Ilikuendeleza Ajenda Ya Maendeleo Ya Rais William Ruto , Wakizungumza Katika Ikulu Ya Nairobi Wabunge Hao Wametaja Kwamba Ni Wakati Wakuweka Siasa Kando Na Shughulia Mambo Mengine Yatakayo Peleka Taifa Mbele . Walikutana Na Rais William Ruto Na Naibu Wake Rigathi Gachagua, Ambapo Rais William Ruto Alitaja Kwamba Bunge Ni Muhimu Katika Kusukuma Sheria Zitakazo Saidia Serikali Kuafiki Malengo Yake Kwa Manufaa Ya Mwananchi Akiongeza Kwamba Ni Vigumu Wabunge Waliochaguliwa Kuto Shirikiana .