Serikali Kuwatuza Maafisa Wa Utawala Kwa Kuafikia Malengo Ya Kukabili Uhalifu

2023-02-07 0

Waziri Wa Ndani Kithure Kindiki Ametangaza Mipango Ya Kustawisha Mradi Wa Kuwatuza Maafisa Watakaoafikia Malengo Tajika Katika Kukabili Uhalifu.Aidha Malengo Hayo Yataorodheshwa Na Wizara Hiyo Na Kufikishiwa Maafisaa Hao Kulingana Na Viwango Vyao.