Wamiliki Wa Matatu Wamshutumu Kindiki Kuhusu Sheria Kali Za Uchukuzi
2023-02-07
0
Wamiliki Wa Matatu Wamemshutumu Waziri Wa Usalama Na Utawala Wa Kitaifa Professa Kithure Kindiki Kwa Kuwasilisha Sheria Ambazo Zinawakandamiza Washikadau Katika Sekta Ya Usafiri Wa Umma Pasi Na Kuwashirikisha.