Wamiliki Wa Matatu Wamemshutumu Waziri Wa Usalama Na Utawala Wa Kitaifa Professa Kithure Kindiki Kwa Kuwasilisha Sheria Ambazo Zinawakandamiza Washikadau Katika Sekta Ya Usafiri Wa Umma Pasi Na Kuwashirikisha.