Usajili Wa Kidato Cha Kwanza

2023-02-07 0

Huku Shughuli Yakuwasajili Wanafunzi Wa Kidato Cha Kwanza Zikiingia Siku Ya Pili. Kaunti Ya Mombasa Inatarajiwa Kuafikia Usajili Wa Wanafunzi Wa Kidato Cha Kwanza Kwa Asilimia 78 Wakisema Hili Litasaidia Kaunti Hio Kitimiza Usajili Wa Asilimia Mia Moja Kwa Urahisi. Mkurugenzi Wa Elimu Kaunti Ya Mombasa Peter Magiri Amesema Kufikia Jumatatu Ijayo Kaunti Ya Mombasa Itaanza Shughuli Ya Kuwasaka Wanafunzi Ambao Hawata Kuwa Wamejiunga Na Shule Za Upili.