Wanafunzi Wasiojiweza Hatimaye Watapata Masomo Baada Ya Ufadhili Murang’a

2023-02-06 7

Wanafunzi Waliofuzu Mtihani Wao Wa Kitaifa Kaunti Ya Murang'a Na Ambao Familia Zao Hazijiwezi Wamepata Ufadhili Wa Masomo Kutoka Kwa Wenye Heri Njema Wakiongozwa Na Kampuni Mbalimbali Katika Kaunti Hiyo. Wazazi Na Walimu Wamepongeza Hatua Hiyo Ambayo Wamesema Itawapa Wanafunzi Wengi Nafasai Ya Masomo.