Seneta Wa Bungoma Amtaka Naibu Rais Kuangazia Kilimo Kote Nchini

2023-02-06 2

Seneta Wa Bungoma David Wakoli Amelitaka Jopo Lililoteuliwa Kuangazia Swala La Kahawa Nchini Kuhakikisha Linaangazia Madhila Ya Wakulima Kote Nchini. Akizungumza Mjini Eldoret Wakoli Amesema Naibu Rais Ana Haki Ya Kuangazia Wakulima Wote Nchini.