Walimu/Wazazi Waombwa Kufuatilia Masomo Ya Wanao

2023-02-06 0

Serikali Kupitia Naibu Kamishena Wa Embu Kaskazini William Owino Imewataka Wazazi Kufuatilia Masomo Ya Wanao Shuleni. Akizungumza Wakati Wakutathmini Ufadhili Wa Elimu Kwa Wanafunzi Eneo Hilo, Owino Amesema Wazazi Wengi Wanaopata Ufadhili Wa Masomo Ya Wanao, Hawafwatilii Masomo Ya Watoto Wao.