Utata Watokota Bunge La Laikipia: Baadhi Ya Wawakilishi Wadi Wadaiwa Kutaka Kumng'atua Spika Wa Bunge

2022-11-30 13

Utata Unatokota Katika Bunge La Kaunti Ya Laikipia.Hii Ni Kufuatia Baadhi Ya Ya Wawakilishi Wadi Kudaiwa Kupanga Njama Ya Kung'atua Spika Wa Bunge Hilo La Kaunti Lantano Nabaala. Hata Hivyo Hatua Hii Imepingwa Na Baadhi Ya Wawakilishi Wadi Na Wakaazi Ambao Wanadai Kuwa Huu Si Wakati Wa Kulumbana Bali Kuwafanyia Kazi Wananchi Waliowachagua.