Naibu Rais Aahidi Serikali Itashughulikia Maswala Ya Walimu

2022-11-29 3

Naibu Rais Rigathi Gachagua Alijiunga Na Viongozi Wengine Katika Kusimamia Shughuli Ya Mtihani Wa Kitaifa Wa KCPE Na KPSEA. Naibu Rais Akiwa Mtaa Wa Komarock Aliahidi Walimu Kwamba Serikali Ya Kenya Kwanza Itawapa Uhuru Wa Sehemu Wanakotaka Kufanya Kazi.

Free Traffic Exchange