Wito Wa Wanawake Mombasa: Watoa Hamasisho La Amani Baina Ya Wakaazi Wa Kaunti Ya Mombasa

2022-11-29 1

Kaunti Ya Mombasa Imeshirikiana Na Kundi La Wanawake Kurambua Wajibu Wa Wanawake Kuhamasisha Amani Kaunti Hiyo.Akizungumza Katika Uzinduzi Huo,Naibu Gavana Wa Kaunti Ya Mombasa Francis Thoya Ameahidi Kushinikiza Mpango Huu Kujumuishwa Kama Sheria Katika Bunge La Kaunti Ya Mombasa.