Mahakama Yasimamisha Uagizaji Wa Vyakula Vya GMO Nchini

2022-11-28 1

Ni Pigo Kwa Serikali Baada Ya Mahakama Kuu Kuzuia Hatua Ya Serikali Kuagiza Vyakula Vya GMO Nchini, Haya Yanajiri Baada Ya Kesi Mbili Kuwasilishwa Mbele Ya Mahakama Hiyo Kesi Ya Kwanza Ikiwasilishwa Na Paul Mwangi Ambaye Anasema Kwamba Uamuzi Wa Kuleta GMO Nchini Ni Sawa Na Kumdhalilisha Mkulima Mdogo.