Naibu Rais Gachagua Azindua Kamati Ya Kitaifa Ya Kukabiliana Na Ukame

2022-11-25 7

Naibu Rais Rigathi Gachagua Amezindua Rasmi Kamati Ya Kitaifa Ambayo Itajukumika Kukabiliana Na Ukame Nchini. Gachagua Amewaonya Walaghai Wanaotumia Janga La Njaa Kuwapunja Wakenya Na Kusema Watakabiliwa Kisheria.