Vuta Nikuvute Imeendelea Kushuhudiwa Katika Bunge La Kaunti Ya Tana River Baada Ya Wawakilishi Wadi Kutofautiana Kuhusu Shreria Ya Uteuzi Wa Mawaziri Wa Kaunti. Aidha Baadhi Ya Wawakilishi Wadi Wameomba Bunge Kuandaa Mafunzo Ya Kisheria Haswa Kuhusu Maswala Hayo. Haya Yanajiri Siku Mbili Baada Ya Bunge Hilo Kuwatimua Mawaziri Watatu Walioteuliwa Na Gavana Wa Kaunti Hiyo Dhado Godhana.