Waziri Wa Usalama Awaonya Maafisa Wa Serikali Dhidi Ya Siasa

2022-11-25 0

Waziri Wa Usalama Profesa Kithure Kindiki Amewaonya Maafisa Wa Serikali Ambao Wanajiingiza Katika Maswala Ya Kisiasa Na Kusema Watapigwa Kalamu. Waziri Kindiki Ametaja Kwamba Hakuna Afisa Wa Serikali Ambaye Atakabidhiwa Majukumu Yoyote Ya Kisiasa Kuanzia Kwa Machifu Hadi Kwa Makamishna Wa Kaunti.