Mwanamume Akamatwa Kwa Shauku Za Kumuua Mpenziwe Siaya

2022-11-25 3

Polisi Kaunti Ya Siaya Wanamzuilia Mwanamume Mmoja Anayeshukiwa Kumuua Mpenziwe Katika Kijiji Cha Rabango. Tukio Hilo Lililojiri Usiku Wa Kuamkia Leo, Linakisiwa Kusababishwa Na Tofauti Kati Ya Wpenzi Hao Ambao Mwanadada Alikuwa Mwanafunzi Wa Shule Ya Ufundi. Mshukiwa Mwenye Umri Wa Miaka 28 Alikamatwa Akiwa Mafichoni.