Ruto asema kwamba uchaguzi mkuu wa agosti utaashiria mwisho wa siasa za kihuni nchini Kenya

2022-03-31 14

Naibu Rais William Ruto amesema kwamba uchaguzi mkuu wa agosti utaashiria mwisho wa siasa za kihuni nchini Kenya. Akizungumza katika kaunti ya Kitui, Ruto amesema kwamba kwa mda mrefu, baadhi ya wanasiasa wamejiendeleza kwa kuwahujumu wengine. Naibu Rais aliyekuwa ameandamana na wabunge, maseneta na uongozi wa UDA, amewarai wakazi wa ukambani kaunti za machakos na kitui kumuunga mkono kwa kuwa nia ya Kenya Kwanza ni kuyaweka mbele maslahi ya wakenya.

Free Traffic Exchange