Viongozi Wa Kirinyaga Waandamana Baada Ya Kunyimwa Ruhusa Ya Kutumia Uwanja Wa Wang'uru

2022-01-28 39

Wabunge Wanaoshirikiana Na Naibu Wa Rais William Ruto Wameandamana Baada Ya Kunyimwa Ruhusa Ya Kutumia Uwanja Wa Wang'uru Kaunti Ya Kirinyaga Kwa Ratba Ya Mkutano Wa Chama Cha Uda Jumamosi Hii Kwa Kile Wamekitaja Kama Kunyimwahaki Na Kutendewa Dhulma