Raila, Kahiga Walumbana: Kinara Wa ODM Walumbana Katika Mazishi Nyeri

2022-01-28 18

Kinara Wa ODM Raila Odinga Amekinzana Hadharani Na Gavana Wa Nyeri Mutahi Kahiga Kuhusu Umuhimu Wa Historia Ya Kitaifa. Akizungumza Katika Hafla Ya Mazishi Ya Mamake Naibu Gavana Wa Nyeri Caroline Karugu, Raila Amemsuta Gavana Huyo Aliyesema Kuwa Siasa Za Sasa Zinapaswa Kuzingatia Mikakati Ya Kuboresha Maisha Ya Wakenya Ya Siku Zijazo