Mili Mingine 21 Imepatikana Katika Mto Wa Yala Kaunti Ya Siaya
2022-01-17 65
Mili Mingine Imepatikana Katika Mto Wa Yala Kaunti Ya Siaya. Wakaazi Pamoja Na Wanaharakati Hii Leo Walizuru Eneo Hilo Na Wametaka Vitengo Vya Usalama Kuingilia Kati Haswa Wakati Huu Ambapo Visa Vya Watu Kupotea Vinazidi Kushuhudiwa.